unamaanisha fingerprints? nadhani kwanza inatakiwa kuwe na data base ndio kwenye matukio kuwe kunachukuliwa hizo fingerprints, vinginevyo ni kazi bure. Ila huu mchakato wa vitambulisho vya taifa ndio utawezesha kuwepo kwa data base! maana kila raia anaweka fingerprints zake. ila DNA sidhani kama tunaweza kwa sasa hivi! maoni yangu lakini