Ragamuffin
Senior Member
- May 2, 2009
- 160
- 6
hatimaye yule afisa ubalozi wa Canada karudishwa kwao kwa kosa la kuidhalilisha Tanzania na wananchi wake, kwa kiasi fulani mi naona haki bado haijatendeka mana hii ni ukiukwaji wa haki za binadamu na alistahili aadhibiwe kimahakama.

Jamani mii naomba foreign affair ya canada watupe status zake za hiv. Ili tujipange kwa kesi ya madai ya kuathiri kisaikolojia. Pia watz tunaomba muziwinde data za safari yake ni lini na saa ngapi ili tukamuage eirport kwa kumtemea mate hata kama hatutamfikia tuteme chini mwenyewe akiona[/QUOTE]
Hili nalo wazo zuri
najiuliza wanatoa wapi hii kibri namna hii
Enzi za mwalimu angechapwa viboko sita matakoni akamwonyeshe mkewe akirudishwa kwao kwa the immediately available flight
Naona serikali imeonelea wamrudishe ili wasije wakanyimwa misaada kwa siku za usoni...
Afisa ubalozi hana kinga yeyote ile anapokuwa anafanya criminal act ana anaweza kushtakiwa kama common crimal yeyote yule...
Atakuwa tu na kinga endapo yale aliyoyafanya, aliyafanya kwa niaba ya serikale yake iliyomtuma, na siamini kwamba Canada walimtuma aje kuwatemea mate Trafic au mwandishi wa habari...
Bahati yake tu yupo bongo ndo maana anapewa dhamana na hatimaye kurudishwa kwao.. Hebu Mbogo amteemee mate Mcanada... shughuli yake utaisikia... vipi kama mate hayo yalimwambukiza mtu maladhi... waathirika watafidiwa vipi... Inabidi ashakiwe na serikali ya Canada imlipie fidia kitu ambacho sidhani kama waCanada watakikubali maana watasema hawakumtuma kwenda kumtemea mtu mate...
Du! Mengi kaingiaje humo!?

mbona wewe unakopi michango ya watu wengine??