DOCTOR UZI
Member
- Apr 28, 2020
- 99
- 80
HUTAJUTANtaitafuta hii.
Hii nayo nitaichek,thnxs.Kuna nyingine inaitwa RUSH based on true story rivalry between Nicky Lauda vs James Hunt kwenye formula one race miaka ya 70 ni balaa. Wapenzi wa mbio za magari mtainjoi sana .
Usisahau kuleta mrejesho chief[emoji106]Hii nayo nitaichek,thnxs.
Hii movie naikubali sana nimeicheki zaid ya mara tanoWakuu niaje
Moja kwa moja kama ww ni mpenzi wa magari na movie bhas nakushauri usisite kuitafuta movie ya ford vs ferrari bonge moja la drama kuhusu racing na magari...
Duuh kweli kila mtu na akipendacho, yaani mamovie ya car racing yalishanishadaga kutazama kabisa kma sijui fast and furious nilitazama dk 2 tu nikafuta kila kitu, aaaarghhHii movie naikubali sana nimeicheki zaid ya mara tano
ANGALIA HII NI TRUE STORY HAINA MBWEMBWEDuuh kweli kila mtu na akipendacho, yaani mamovie ya car racing yalishanishadaga kutazama kabisa kma sijui fast and furious nilitazama dk 2 tu nikafuta kila kitu, aaaarghh
Mamovie mengine ya western a.k.a macowboys yaani daah sitazami kwa kweli.
SEMA NDO HIVO WAKAJA KUMSNITCHKen Milles.
Huyu jamaa alikuwa N.Y.O.K.O.
Le Mans aliwazunguka wenzake zaidi ya mara tatu.
Ferrari wote walitolewa mashindanoni baada ya kulipua injini zao.
Pale mwishoni walipomuomba wamalize pamoja.SEMA NDO HIVO WAKAJA KUMSNITCH
YES SIRPale mwishoni walipomuomba wamalize pamoja.