Forbidden cures za Dr. Mwaka - Vita ya kimaslahi

Kibaya sana zinaitwa dawa ila hawawezi kuambia therapeutic dosage na toxicity dosage levels ni zipi???
 
burahanthu, Hebu Toa Ushahidi kuhusu Madhara ya Dawa za kiasili? Kwa mfano mimi ninakuwekea hapa Dawa za aina 4 kisha nipe madhara yake hizo dawa? Dawa ya kwanza ni Tangawizi nipe Madhara ya mtu anaye tumia Tangawizi?

dawa ya pili Maji ya kunywa hebu nipe Madhara ya mtu anayetumia Maji ya kunywa? dawa ya 3 ni Kitunguu Saumu hebu nipe madhara ya mtu anayetumia Kitunguu Saumu? na Dawa ya mwisho ni Kitunguu Maji hebu nipe madhara ya mtu anaye tumia Kitunguu Maji?
 
Tangawizi dawa au chakula? Hebu ni tafsiri ya tangawizi dawa na tangawizi chakula maana inatumika kama kiungo sasa sijui inakuaje dawa hapo??
 
Hehehe, mkuu claim kubwa sana hiyo, proof unayo? alafu umekaa tu haujulikani dunia nzima kwa sababu ipi hasa?
Mimi hata nikikupa wewe Proof unayotaka itakusaidia kitu gani huo ukweli unaotaka toka kwangu mimi? MimiSitaki nijulikane Ulimwenguni inatosha mimi kujulikana kwa wale wagonjwa ninao watibi na wakapona.

Kujulikana si pendi matatizo ya kufuatwa na waandishi wa habari Media huwa ninazichukia mimi. Ninao watibia ndio wao wana haki ya kunitangazia mimi kuwa nimewatibu na wamepona, sio mimi kujitokeza kwenye Media eti ninatibu Maradhi ya Ukimwi nimekuwa Babu wa Lolilondo? sitaki kupata umaarufu wa muda ninataka niwatibie watu wapone na mimi nipate riziki yangu basi inatosha kwangu mimi hivyo.
 
Tangawizi dawa au chakula? Hebu ni tafsiri ya tangawizi dawa na tangawizi chakula maana inatumika kama kiungo sasa sijui inakuaje dawa hapo??
Tanagawizi ni dawa na pia ni chakula unajuwa lugha ya kiingereza lakini wewe ? Soma hapa
''LET FOOD BE THY MEDICINE AND MEDICINE BE THY FOOD''.jpg


(''LET FOOD BE THY MEDICINE AND MEDICINE BE THY FOOD'')


 
Mimi hata nikikupa wewe Proof unayotaka itakusaidia kitu gani huo ukweli unaotaka toka kwangu mimi?MimiSitaki nijulikane Ulimwenguni inatosha mimi kujulikana kwa wale wagonjwa ninao watibai na wakapona. Kujulikana si pendi matatizo ya kufuatwa na waandishi wa habari Media huwa ninazi chukia mimi. Ninao watibia ndo wao wana haki ya kunitangazia mimi kuw animewatibu sio mimi kujitokeza kwenbye Media eti ninatibu Maradhi ya Ukimwi nimekuwa Babu wa Lolilondo? sitaki kupata umaarufu w amuda ninataka niwatibie watu wapone na mimi nipate riziki yangu basi inatosha kwangu mimi hivyo.

Sasa hao uliowatibu mbona wako kimya? au na wao unawaambia wasimwambie mtu? I take your claim with a grain of salt, you can't back it up in any way ukisingizia hutaki kua popular, huwezi kua na tiba ya ugonjwa kama ukimwi alafu ukazuia upopular, watu uliowatibu peke yake wanaweza kusambaza habari Tanzania nzima ikakujua ndani ya siku mbili, sio lazima kujipeleka kwa waandishi wa habari. Babu wa Loliondo alikua nuksi na hilo lilithibitika watu wakampotezea, labda unaogopa the same fate.
 
Tutazunguka kote lakini ukweli unabaki pale pale, Tiba za Asili bado ni tiba tata(Sio tiba za kuziamini moja kwa moja) sana regardless zinaponya au haziponyi kwa sababu.

1/Nyingi hazijafanyiwa Utafiti wowote kujua uwezo wake kamili wa Kutibu au kuangamiza.

2/Wataalamu wengi wa Tiba Asili hawana ufahamu wowote wa msingi kuhusiana na sayansi ya magonjwa wanayosema wanayatibu. Kwa mfano, Mganga wa Tiba Asili anaweza kusema anatibu Kisukari, lakini hapo hapo hajui chochote cha msingi kuhusiana na sayansi ya ugonjwa wa kiserikali. Sasa sijui hiyo dawa aliwezaje kuitengeneza?

3/Uganga wa Tiba Asili kiujumla umezungukwa zaidi na IMANI, UJANJA, KUBAHATISHA nk. Katika mazingira hayo, suala la kupona ni Pata potea. Yaani kwenye Tiba Asili, anaweza akaibuka mtu yoyote yule na mizizi yake na kudai anatibu ugonjwa wowote ule, watu wakamwamini na akaanza kuwalisha mizizi yake!
 
Tiba ni jambo la KISAYANSI na KITAFITI. Kama hakuna sayansi na utafiti basi hiyo tiba hapo ni Miujiza, Maajabu, Kubahatisha au Kiini macho.
 
Japo nazikubali tiba asili ila siwezi kuacha kutumia tiba za kisasa. Kinacho nishangaza ni kwamba wataalam wa tiba asilia huwa wana jinasibu kutibu maradhi yote yani kwao hakuna ugonjwa unaoshindikana!!! Jambo ambalo sio kweli.

Nimewahi kushiriki mpaka clinical trials kama test subject kwenye nchi za watu na nikatambua jinsi mzungu anavyo hangaika kutengeneza dawa mpaka imfikie mgonjwa. Mnaposema kwamba zile dawa ni sumu sio kweli ndiyo maana wameiweka kiwango cha cha unywaji kama (2*3) kwa siku labda Kwa siku 10 nk. Ukizidisha kiwango lazima iwe sumu kwa sababu too much of anything is harmful kwa mwili wa binadamu.

Nadhani njia bora kwa watu wa tiba mbadala ni kufanya clinical research ya dawa zao ili ziweze kuwa approved na mamlaka husika hapo wataondoa ule ukakasi unaoleta mashaka kwa watumiaji. Msitutishe watu kwamba dawa ni sumu wakati miili yetu ina mechanism zake za kuprocess kila kiingiacho kama tukitumia kwa viwango vilivyo pendekezwa.
 
Japo nazikubali tiba asili ila siwezi kuacha kutumia tiba za kisasa. Kinacho nishangaza ni kwamba wataalam wa tiba asilia huwa wana jinasibu kutibu maradhi yote yani kwao hakuna ugonjwa unaoshindikana!!! Jambo ambalo sio kweli.

Nimewahi kushiriki mpaka clinical trials kama test subject kwenye nchi za watu na nikatambua jinsi mzungu anavyo hangaika kutengeneza dawa mpaka imfikie mgonjwa. Mnaposema kwamba zile dawa ni sumu sio kweli ndiyo maana wameiweka kiwango cha cha unywaji kama (2*3) kwa siku labda Kwa siku 10 nk. Ukizidisha kiwango lazima iwe sumu kwa sababu too much of anything is harmful kwa mwili wa binadamu.

Nadhani njia bora kwa watu wa tiba mbadala ni kufanya clinical research ya dawa zao ili ziweze kuwa approved na mamlaka husika hapo wataondoa ule ukakasi unaoleta mashaka kwa watumiaji. Msitutishe watu kwamba dawa ni sumu wakati miili yetu ina mechanism zake za kuprocess kila kiingiacho kama tukitumia kwa viwango vilivyo pendekezwa.
Mkuu kama unajuwa kutafsiri toka lugha ya Kiingereza kwenda lugha ya Kiswahili Tafadhali katafsiri neno hilia hapa (''THE PHARMACEUTICAL INDUSTRY DOES NOT CREATE CURES THEY CREATE CUSTOMERS'') halafu uje hapa ubishe kichwa mchungwa.

THE PHARMACEUTICAL INDUSTRY DOES NOT CREATE CURES THEY CREATE CUSTOMERS.png
 
ipyax,
Kinachofurahisha zaidi ni kuwa dawa nyingi za kienyeji ndio hizo hizo za kizungu

Kwa mfano traditional healers watakwambia kachemshe mti wa mkwini unywe glass mbili kwa siku .Lakini kiuhalisia ,mkwini ndio mti unaotupa quinine ya malaria na quinidine ya matatizo ya moyo

Because,synthesis is expensive,most of modern medicine have been extracted from plants ,made into appropriate dosage forms but also they have been subjected to trials for years before released into the market
 
Hapa ndipo hua siwachukulii serious, story kama hiyo huna uhakika wowote ule kama ni ya kweli, umeitoa kwenye website yenyewe inaitwa conspiracyclub, huwezi thibitisha chochote zaidi ya story iliyoandikwa na mtu moja, hakuna cure ya AIDS ni maneno tu ila mkiwa comfroted kuprove mnabaki mnashangaa.

Mimi ni web developer, hizi kazi za kutunga story online ili kupiga hela nimezifanya sana tu toka zamani, na zinalipa sana, page kama hizo zinapata visits nyingi mno kwa speed, kutengeneza $100 kwa story kama hiyo ni kitendo cha fasta, ndiyo sababu watu wanazidi kuzitunga. Real information inapatikana kwenye real new sources, leta proof kutoka kwenye reliable sources, usikae ukajidanganya kua haya makampuni ya habari yanalipwa na drug companies kuficha ukweli maana ndiyo hua mnakimbilia huko.

DR SEBI.jpg

Mkuu sijuwi ulitaka nikutolee Ushahidi wa kutoka kwa magazeti yetu ya Machungwa hapo bongo ndipo upate kuamini?

Man Found Cures To All Diseases And Supreme Court Ruling Proves It


UNILAD-maxresdefault4070-640x426.jpg

Dr Sebi's Cell Food

With many afflictions becoming harder to treat and cure and pharmaceutical company’s corporate greed becoming more evident day-by-day, what if a guy in the 80s already had the cure to all disease anyway?


Dr Sebi was an ambassador for self-healing and what he said he could allegedly cure was staggering from world’s deadliest conditions: cancer, AIDS, HIV, diabetes, and mental health afflictions such as bipolar disorder and depression.


UNILAD-pills58373-640x426.jpg


An immigrant from Honduras to the U.S., Dr Sebi was a healer, pathologist, herbalist, biochemist and naturalist, amongst other things, and was dedicated to helping people overcome any ailments. He took the notion of self-healing all the way to the mainstream and changed the course of history towards the cure of all disease.

In 1988 he was sued for false advertisement and practice without a license after he placed a number of ads in newspapers- including the New York Post. He took on the Attorney General of New York head on in a Supreme Court trial. Before the trial began he was asked to produce a witness per disease he alleged to have cured, and after 77 people joined him in court, he was declared not guilty and therefore proved in fact, that he cured all diseases mentioned in the press.


A number of celebrities have sought healing from the doctor in the past, including the likes of Michael Jackson, John Travolta and Eddie Murphy.source.Man Found Cures To All Diseases And Supreme Court Ruling Proves It
 
Makampuni ya kutengeneza madawa hayatengenezi tiba bali yana tengeneza wateja,,.
Umesha elewa kumbe? Basi amka Mkuu.Soma na hapo jinsi Madawa Ya Antibiotics yanavyo tuuwa taratibu sisi watumiaji.Ma-Daktari wanaficha hiyo Siri hutoweza kuambiwa na Daktari yoyote Duniani hiyo siri hapo chini.

ANTIBIOTIC-USE.jpg
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom