Forbes Yatoa orodha ya matajiri wapya Aliko Dangote na Mo Dewji miongoni mwa watu matajiri zaidi barani Afrika 2022

Siamini kama Mo Dewji anamzidi mkwanja Bakhressa. Kuna kitu hakipo sawa kwa hawa forbes.
Net profit= Gross profit - expense
Hivyo hivyo Net worth= tatal asset - liabilities
 
Huwa siamin km mo anakampuni inayoizid ukubwa azam media
Hao ni biashara tuu Azam ni shida nyingine ile..analisha juice zake Malawi, Zim mpaka msumbiji hicho king'amuzi huko kuna maagent harafu kashusha bei sio kama Tanzania vile vile ananunua baadhi ya vyakula huko huyo Azam nadhani hataki kuingia kwenye hizo mambo za Forbes...
 
Iyo ni bagamoyo sugar ya ssb
Screenshot_2022-01-26-20-09-00-35.jpg
 
Back
Top Bottom