Forbes Yatoa orodha ya matajiri wapya Aliko Dangote na Mo Dewji miongoni mwa watu matajiri zaidi barani Afrika 2022

Huyo MO DEWJ.. kwani hawezi kugawa buku kumi kumi TANZANIA nzima huyo.. aongeze upendo tu kwa watanzania sio mbaya
hakika afanye hivyo kwa mfano akigawa 10elfu kwa watu mfano 60M hapo sawa na 6.E10(60,000,000,000) mbona atabaki na kipunga tu
 
Tuache unafki nimeandika kama mpagani kinara, simjui Allah wala Yesu. Ila kubali ukatae waislamu wako vizuri na ninafikiri labda misingi ya dini yao inachangia nafanikio yao.
Siyo kweli sema waarabu wapo vizuri.
 
Hii list siikubali, mbona mimi sipo...nachojuwa nipo top 5 au naongoza!
Ni hivi majuzi nimenunua assets za USD Billion 10.7, na sijui nina akiba ya kiasi gani ila mhasibu wangu kaniambia uwekezaji ninaotaka kuufanya wenye thamani ya USD Billion 8.8 niufanye tu akiba yangu ipo ya kutosha!
 
Siamini kama Mo Dewji anamzidi mkwanja Bakhressa. Kuna kitu hakipo sawa kwa hawa forbes.
 
Hii list siikubali, mbona mimi sipo...nachojuwa nipo top 5 au naongoza!
Ni hivi majuzi nimenunua assets za USD Billion 10.7, na sijui nina akiba ya kiasi gani ila mhasibu wangu kaniambia uwekezaji ninaotaka kuufanya wenye thamani ya USD Billion 8.8 niufanye tu akiba yangu ipo ya kutosha!
Kwani wewe na tajiri Bill lugano a.k.a kiduku liko nani mwenye mpunga zaidi
 
Back
Top Bottom