princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,194
- 2,063
Me mwenyewe nimeshangaa mkuu,ngoja wajuzi wajeHivi kwenye D siku hizi ndio inakaa hiyo emoji ? Au nimeona Mimi tu?
Hapendagi Show OffDomo mbona simuoni kwenye list!!!
HehehQ-chief hayumo?
Hizo Billions ni za ela ya wapi?Jarida la Forbes la nchini Marekani limetoa orodha ya Wanamuziki Kumi(10)Matajiri zaidi Afrika,Nigeria yaongoza.
10: Oliver Mtukudzi (R.I.P) Zimbabwe,Billion 2.3
9: Jidenna,Nigeria billion 2.3
8: Hugh Masekela,South Africa billion 3.4(huyu haimbi,bali ni mpuliza tarumbeta tu)
7: Thashenow,Zimbabwe Billion13.9
6: Sarkodie,Ghana Billion 16.2
5: Davido,Nigeria Billion 37
4: Wizkid Ayo,Nigeria Billiom 46.2
3: Don Jazzy,Nigeria Billion 69.5
2: Black Coffee,South Africa Billion 139,
Na namba moja imekamatwa na Msenegal anaefanyia shughuli zake za kimuziki Nchini Marekani, Akoni Billion 185.3
Astala Vista
Hizi ni Arsset mkuu(Vitu anavyo miliki)sio pesa za Mfukoni
Ni Arsset(Vitu anavyomiliki)sio pesa za mfukoniHizo ni pesa gani? Nina uhakika si the mighty $$.
Sawa mkuu,ila izo ni arsset mkuuNadhani mleta uzi hajui umuhimu wa kutaja currency kwny masuala ya kifedha...forbes ya Tanzania labda
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu,ila izo ni arsset mkuu
Ni Arsset(Vitu anavyomiliki)sio pesa za mfukoni
Usd billion 139 ni utajiri wa matajiri wakubwa duniani. Hata Beyonce na Jay z combined unaeza usipate hata 1.5 Billion usd..Sawa mkuu,ila izo ni arsset mkuu