Forbes :Mo Dewij Ndiyo Billionaire East Africa

Itzmusacmb

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
1,531
1,132
7fbae1ce98f5194838c79b9969583c00.jpg

Gazeti la Forbes limemtangaza Mo Dewji kuwa anayeongoza kama Bilionea Africa Mashariki.

Karibu
 
Nimeona wameandika ana Trillion 3.something..

Nadhani hawakumsikia yule mwanaume aliyesema mahakamani kuwa Standard chartered walimtapeli Trillion 12..

Na ukiona mtu katapeliwa milioni moja ujue ana nyingi zaidi ya hiyo. So kama alitapeliwa Trillion 12 unadhani alikuwa na shingapi.??
 
Trillion 12 za USh?
 
Sasa uturuki wameshika pia meli yenu due to explosives, what's up with Tanzanian registered ships

7fbae1ce98f5194838c79b9969583c00.jpg
 
Mara ndege bombandia imekamatwa, mara meli imekamatwa.
Kwenye meli hapo kuna mchezo tutakuwa tunachezewa nahisi, watanzania hawajafikia kiwango hicho cha kufanya uhalifu kila siku tena kwa kutumia meli.

Soon tutasikia kilicho nyuma ya pazia
 
Nilifikiri nasibu ndo bilionea kama una uwezo wa kununua nyumba ya bilioni bas watu wote wa instagram wanaajua na top 20 za milad ayo unaingia
 
Back
Top Bottom