Kama hii barua ni kweli ya Rweyemamu na ilimfikia Rostam ina maana Rostam ana uwezo wa kumuunganishia kazi mtu akawe presidential spokesman, nimekoma na Rostam Aziz.
By the way, to be the devil's lawyer for a minute, kama ungekuwa ni wewe Kikwete halafu kina Rostam na kina Rweyemamu ndio hao waliku propell into power kama Salva anavyosema humo, ungefanya nini wakija wanaomba na kuombeana kazi, ungejifanya huwajui? Sijui kama Kikwete atapokea tena favor ya mtu uchaguzi wa 2010. Labda 2011 Rais Kikwete hatakuwa mfukoni mwa kina Rostam na CCM financiers wengine.
Naona pia Salva kamtukana Johnson Mwambo kwamba ni "ki-mbwa cha J.U." akimaanisha Jenerali Ulimwengu, maana Ulimwengu ndie kibosile pale Raia Mwema. Salva Rweyemamu mwana haramu, kama ni barua yake hii.
Hofu yangu: NI AHADI GANI AMBAZO SALVA ANATAKA ATIMIZIWA NA RA MAANA KAMA IKULU SI AMESHAPATIWA!!!!
Nasikia yeye alitaka apewe Ubalozi wa London.
Atakuaje balozi wetu London hata Kiingereza hajui? Broth inakuwa blot? KUle habari Corporation walianzisha gazeti la Kiingereza la The African ambalo yeye na hilo gazeti vilikuwa kama vilima viwili visivyokutana. Mliwahi hata kuona makala yake moja ya kiingereza mle ndani?
Lakini hayo ni tisa. Uwezo wake wa kuendesha taasisi kwa maganikio uko wapi? Hiyo anayoiongoza hapo Iklulu sijui kama ina hela -- maana siku hizi safari za London za kila mwezi sizioni.
Nasikia yeye alitaka apewe Ubalozi wa London.
Hapa kinacho takikana kwa sasa ni solution ni mambo gani yafanyike ili nchi iwe na muelekeo mpya,huu ni wakati wa vitendo.
kwa hiyo tungekuwa na balozi ambaye mkewe kajilipua kwa kudai kuwa yeyey ni mnyarwanda na siyo mtanzania na anayo well founded fear of persecution kwao Rwanda japo ni mtanzania
makubwa haya!
Lakini it would have been a big change of life toka maisha ya kukaa hostel za asylum seekers in Luton to diplomatic Mansion kule Mill Hill inayolipiwa na walalahoi huku Tanzania
Huyu Salva anayo guts sana huyu eeeh?
Sawa sawa,
Wewe umeanza kutoa mfano wa vitendo?
Ni aibu kubwa sana kwa mtandao.....leo mtandao mzima mmevuliwa nguo.....pamoja na jk wenu...
Sawasawa hata kukumbusha nao ni mchango! endelea hivyo hivyo hata kwa wasio wanaJF ambao ni wengi zaidi!Ndio kwa kuwakumbusha wana JF, kwani wengi wetu tumekuwa na utamaduni tunasoma tu nini kinaendelea hapa Tz bila ya kutafuta ufumbuzi wake .Tukimaliza inakuwa ni hadthi ya siku tunasubiri siku inayofuta nini tutakisia na kukisoma tena, tunasahau kuwa kila tatizo lintakiwa kupatiwa ufumbuzi wa vitendo.