Hapo unapohifadhi, nihifadhie na mie. Kwangu mie pako pomoni!
Love love...afu umependezaa
Haya ubebe uulete saa hizi nikuhifadhie!
Niubebe mara ngapi?
Wee chungulia tu, nje utakutana nao!
Ha ha haa haa rafiki....nina mpango wa kuuweka ya kwangu original
Sooon best
Nilidhani upo serious, kumbe msumbufu tu!