For webmasters and other web gurus | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

For webmasters and other web gurus

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by hbi, Oct 11, 2012.

 1. hbi

  hbi JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 606
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 60
  Nini kifanyike ili kupunguza possibilty ya hackers kuhack website yako? Tushauriane jamani... pia kwa wale wanaotumia php kudevelop web application ninacho kitabu kwa ajili ya security issues, atakayehitaji nitamtumia... Karibuni tujadili

  Website niliyokutana nayo imekua hacked leo hii ni
  HackeD By Team R3b ksa
   
 2. N

  Nyasiro Verified User

  #2
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  hicho kitabu nakihitaji na mimi af pia kama kipo cha sql au mysql itakua poa. Unajua mpaka website iwe hacked inategemea na site yenyewe hackers hawako interested na kila website wanayo hack
   
 3. Donn

  Donn JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,451
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
 4. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #4
  Oct 11, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,814
  Likes Received: 7,152
  Trophy Points: 280
  tso host ya uingereza toka ianzishwe hakuna website ikiyohackiwa hata 1 na ina zaidi ya miaka 10 kwenye game why imekua hivi? Sababu wana watu wazuri wanaosuport wateja wao na wanacost hela nyingi za kuhost kwa ajili ya security.

  Free webhosting zina matatizo sana hizi hosting za tz ndo siziamini kabisaa. Sjajua website ya nani hio iliohackiwa ila nampa pole.

  Kama kweli mtu unataka kufanya kitu serious nunua hosting zenye zaidi ya miaka 10 na uzigoogle usome review zake uone historia zao na mambo kama hayo ya security.

  Mi nawafahamu tsohost.co.uk ila ndo gharama pasua kichwa
   
 5. Donn

  Donn JF-Expert Member

  #5
  Oct 11, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,451
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  mara nyingine watu huhack website tu kwa kujipima uwezo. Na yawezekana tunabase kupendezesha web kuliko security issues nyasiro hbi
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. N

  Nyasiro Verified User

  #6
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
 7. Donn

  Donn JF-Expert Member

  #7
  Oct 11, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,451
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  khaa..!!! Web za viongozi tz aibu kweli.. Sasa hapo uhack ili iweje? But inatakiwa balancing. Muonekano ukishakuwa poa make sure security inakuwa yanguvu.
   
 8. hbi

  hbi JF-Expert Member

  #8
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 606
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 60
  Aisee hiyo ni website mbaya sijapata kuona.... Sasa uliza imetengenezwa kwa sh ngapi uskie
   
 9. hbi

  hbi JF-Expert Member

  #9
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 606
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 60
  Kitabu takutumia, kuna hackers wengine wanahack ili kuongeza ujuzi na kujaribu kuimplement alichokisoma aone kama yuko fiti au lah... Mimi mwenyewe nilikua najipa moyo kua ivi mtu aje ahack website yangu ili apate nini, nadhani nilikua wrong
   
 10. hbi

  hbi JF-Expert Member

  #10
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 606
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 60
  Mwenye website nahisi kama namfaham ila yeye hanifaham, sijajua kama anafaham kua website yake imekua hacked au vp. Ila tajaribu kumtaarifu kwa njia nitakayoweza. Pia naomba tujadili chanzo kinachopelekea website iwe hacked ni
  1. Technolojia inayotumika kutengenezea website
  2. Mtengenezaji wa hiyo website
  3. Hosting company
  4. Au yote ni sahihi
  Kutokea hap tunaweza kujua namna yakutake measure
   
 11. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #11
  Oct 12, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,814
  Likes Received: 7,152
  Trophy Points: 280
  mi naona vyote vinahusika hbi kutokana tunazungumzia hacking kwa ujumla sababu zipo hacking nyingi na kila hacking ili kufanikisha kuna upenyo wake mimi naweza tumia udhaifu wa server (host) then nkaiba site yako kiulaini au nkatumia udhaifu wa script yako (wordpress,joomla,vbulletin) then nkahack site au pia naeza nkatumia udhaifu wa webmaster kuiba ikiwa webmaster atafanya customization ya script au katengeneza script yake mwenyewe ambayo ni mbovu.

  Mi nafkiri kichwani mwangu best way ni kuwa na hosting zaidi ya moja then domain register kwenye kampuni nyengine (sio uliohost) then fanya backup mara kwa mara incase ikiwa hacked hapo hapo una upload website yako hosting nyengine na domain unaitransfer fasta tu.
   
 12. hbi

  hbi JF-Expert Member

  #12
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 606
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 60
  Kama vyote vinahusika kumbe inahitajika umakini uanzie kwa web designer, ahakikishe kunasecurity ya kutosha katika website aliyotengeneza, kama katumia CMS mf wordpress,joomla,drupal etc inabidi iwe ni latest version na pia watu wengi hua wanasahau kubadilisha admin password, unakuta wakati wa development aliweka simple password ili aweze kua anaikumbuka sasaanapokua amemaliza anasahau kuweka strong password, na inabidi unapotumia plugins(components) inabidi kusoma review zake kwanza kabla yakuinstall, na kuhakikisha una update your site pale ambapo kuna kua na reliese ya new updates za plugin au cms kwa ujumla.

  Tukija kwenye suala la hosting inabidi kuchagua best hosting company, na tusipende kuchagua hosting za bei rahisi, siku zote bure ni aghali.. kingine cha msingi ni kuhakikisha unafanya regular backups kama alivyosugest Chief Mkwawa.. Mwingine mwenye ushauri wa nini kifanyike anaweza kushare na sisi
   
 13. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #13
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  hiyo site ni ya mshikaji wangu joness mac coe wa The kinu, sina hakika kama yuko aware site iko hacked, ngoja nimpe taarifa
   
 14. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #14
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  kwenye hacking kuna watu wanaitwa white hat, gray hat na black hat, wote kazi yao kupenetrate, ila wanatofautiana malengo, white hats hupenya kuangalia securite holes ili waweze kuziba au kuwapa taarifa wahusika wazibe, black hat hawa waharibifu, wezi wa data, kifupi malengo yao kuharibu.... gray hat hawa mchana wanakuwa white usiku black, wanafanya yote
   
 15. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #15
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  pia wengi uwa tunasahau au hatujui kuhusu kubadili permission ya folders, mara nyingi hackers uwa wanapenyea kwenye folder ambazo zina permission ya read, write and execute enabled, pia uwa tunasahau kubadili default addresses mfano mara nyingi website za joomlA uwa zinakuwa hacked kuanzia kwenye /administrator au wordpress usipobadili mfumo wa url utakuta jamaa washapenyA
   
 16. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #16
  Oct 12, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,814
  Likes Received: 7,152
  Trophy Points: 280
  Mfano hivi?

  Blogyangu.com/wp-admini ndo uichange?
  Na unachange vp
   
 17. N

  Nyasiro Verified User

  #17
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  nidondoshee hicho kitabu hapa: nyasiro@nyasiro.com
   
 18. hbi

  hbi JF-Expert Member

  #18
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 606
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 60
  Tayari, check email yako
   
 19. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #19
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  chief-mkwawa unaweka plugin inayoredirect hiyo url to another specified url ambayo utakuwa unaijua wewe admin mfano /wp-login.php inabadilishwa kuwa /login au neno lolote hiyo ni njia moja njia nyingine ni password protected folders hebu jaribu kuingia hapa kwenye site yangu ya joomlahttp://mtaawasaba.com/administrator itabidi kwanza uvuke kikwazo cha kwanza ndo uweze kuipata login page ambapo ni kazi kubwa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #20
  Oct 12, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,814
  Likes Received: 7,152
  Trophy Points: 280
  Yah nimekupata. Nishaona inaniuliza password kabla sjaingia kwenye url yenyewe. Na kuset folder password inakua ni feature kwenye hosting (kwenye ftp) au inakua ni script nyengine tena
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...