For those who fall in love with someone here

Hilo jagi chafu na lina ukoko wa mafuta. Tatizo lako jagi la maji huwa unanywea supu ya makongoro na uji wa ulezi.

utapata kiriba tumbo!

Siku hizi nimeacha kula makongoro
Si uliniambia utanichukia nikiwa na kitambi?
 
Ila humu jf ni kiboko hakuna anaye kubali kuji shusha
Ukitaka wenye ma vx wako humu..
Ukitaka wenye choppa wako humu....
Ukitaka wanao miliki kampuni wako humu...
Ukitaka wanao miliki mashimo migodini wako humu...
Ebu ona kama huyu..
"faster nimefungua kampuni yangu
"namiliki range rover na vigari vingine kadhaa.
"nimemaliza kujenga nyumba yangu ya ghorofa goba
 
Excel unaitwa huku!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

Kuna wengine wanamajina ya ukweli....lakini ulichosema kina ukweli ndani yake kama mtu kaanza na ufeki kila kitu kitakua feki.
 
Kuna wengine wanamajina ya ukweli....lakini ulichosema kina ukweli ndani yake kama mtu kaanza na ufeki kila kitu kitakua feki.
felinda mi nakujua ......lol!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…