For those who fall in love with someone here


Safi sana,Wewe sasa ndio baba Paroko, mwingine fake!!!
Asante mkuu Eiyer...Ujumbe umefika, Asomaye na Afahamu
 
Eiyer wewe ni tembo kama nikisema kiboko sitakutendea haki. Hiyo staili hata mimi huwa naitumia sana kupata dem ninaemhitaji, manake kwanza unatengeneza urafiki na kujifanya km mtu mwenye kujali sana ustawi wa maisha yake kisha hatimae kiulaiiiini anakuja mwenyewe kama mbwa kwa chatu. Bgup baba paroko.
 

Eiyer Baba Paroko mi nina swali..Hivi uyo dogo aliyekuja kulialia kwako, yey huko PM na uyo mrembo walikua hawatumiani picha kabla ya kuonana???Maana Hii inanikumbusha wakati nipo A-level 2006, kuna rafiki yangu aliingia kingi kwa kwa sauti ya mrembo kwenye simu na jina lake lilikua zuri, waliwasiliana miezi mitatu, ila alipotumiwa picha, Mi nilicheka hadi nililia aisee
 
Tulia mkuu, mi nadhan ni utani tu si kweli, juu ya hilo nimejifunza kuwa ww ni mtu ambae ni rahisi kuwa "irritated"!! Pole sana.


Sent from my iPhone using JamiiForums app.

thanks.. human behaviours are different. ndio maana kuna kusoma saikolojia ya mtu kabla hujaishi/kuongea nae.

si kila mtu ni wa kutania kirahisi rahisi hivyo.. goodday..
 
mkuu Eiyer asante sana kwa maelezo ya kina lkn wewe sio mpole lol....... Ni kweli kabisa wengine wamejikuta wakivutiwa na watu kwa michango yao au picha walizoweka kwenye avator zao. Wameweka matuamaini makubwa sana juu ya watu wanaowatamani wanasahau kabisa kwamba watu walioko jf wengine ni hao wanaowazunguka hapo mtaani kwao au ofisini kwao. Tena wenye tabia tofauti tofauti zingine zenye kukera na tabia zingine zenye kuvutia.

Wapendwa kuweni makini na kama umevutiwa na mtu flani si vibaya bali jipe muda wa kumjua mtu huyo vizuri. Sipendi kusema kuwa mahusiano yanayoanzia kwenye mitandao si mazuri la hasha kwani kuna wengine wamepata familia bora kupitia hii mitandao na nafikiri tumeona kwa nyakati tofauti tofauti shuhuda mbali mbali.
 
haya mkuu, tumekusikia. ila kuna kabinti humu nakapeeeeenda. siku hizi simuoni, nikionaga posts zake tu najisikia freshh. har har har har har,
 
Wakati mwingine JF inashangaza sana

Avatar fake,michango fake hadi watu fake!!
Je wewe pia ni fake just kidding lol , watu sio fake ni halisi isipokua wanaweza kuact tabia au mambo ambayo si uhalisia wao.
 
Ushauri mzuri sana...Haya bna ila mimi kuna moja Mbingu duniani, sijui kwa nini ila basi tu... najua hata ile avatar si yake ila bado anavoandika hua mapigo yanaenda mbiyo... em ngoja nifikirie kufuata ushauri wako nione ka itawezekana... Ila sijui
 

Jamani Madam kwani mi mkali?
Mi mpole bana ....lol!!

Asante sana kwa kuongeaza neno jema mama
Barikiwa!!
 
haya mkuu, tumekusikia. ila kuna kabinti humu nakapeeeeenda. siku hizi simuoni, nikionaga posts zake tu najisikia freshh. har har har har har,

Funguka tu mkuu ila ndio hivyo kuwa makini!
 
Wanaa adamu wengine wakohapa kujarbu n walikotoka wanawake zaoau waume zao na kama si hivyo wana anao wapenda
Ataongea vyema hap umb na lak moyoni .
wengine wanatka kuogeza namba ya waliotoka nao na wengine wanatak mtu wa kumpenda hapo ndo shughuli inapoanzia wake za watu wame za watu wapo hapa lakini watembea bia pete uakutana ae uajua ssameat kumbe ana mtuwake unagundua hilo tayra ushampenda ingehauri tuwe wakeli
 

Mkuu inaonekana una mawazo mazuri sana lakini una haraka sana ya kuandika matokeo yake unakosea na kumis spelling hebu punguza papara halafu uandike vyema!
 
Jamani Madam kwani mi mkali?
Mi mpole bana ....lol!!

Asante sana kwa kuongeaza neno jema mama
Barikiwa!!
Hahahahaha sasa si mpaka watu wakwambieee , mbona wewe unajifagilia mwenyewe tutaaminije weka picha.

Stay blessed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…