For six art waombe kusoma course gani chuo

mwanyaluke

JF-Expert Member
Jan 22, 2015
473
1,448
Nina wadogo zangu wamemaliza form six masomo ya art nashindwa kuwashauri course za kusoma kwa sasa , maana karibu kila degree ya art ajira imekuwa ngumu
 
Angalia katika cheti chake ni masomo yepi amepata maksi za juu zaidi??maana hiyo ndio itamsaidia huko mbele aendako.
cha msingi hapa mkuu sio aina ya kozi ili kupata ajira bali ni GOOD credit ndio itakusaidia kupata ajira.

Hakikisha wao wanapata First Class ya juu zaidi ktk fani yoyote ile anayoipenda mtoto na anayoifahamu zaidi ndio muongozo wa ajira yake
 
Nina wadogo zangu wamemaliza form six masomo ya art nashindwa kuwashauri course za kusoma kwa sasa , maana karibu kila degree ya art ajira imekuwa ngumu
Art Ina masomo mengi na inategemea marks walizopata
 
Back
Top Bottom