For sale furniture (picture)

For sale furniture (picture)

ERIK

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
623
Reaction score
315
HABARI......
Nauza :- sofa ya watu 2 kwa 250,000 (ipo katika hali nzuri na material mazuri)
kabati la milango 2 kwa 120,000 (lipo katika hali nzuri pia)
kitanda cha chuma kwa 300,000 (nimelalia week 3 tu)

Nauza sababu nataka kubadilisha vitu ndani kwangu na kama utahitaki kuviona au picha kwa what sap nicheki 0713644485 au emmanuelvitalis@tanzaniamail.c om
 
Attachments

  • IMG-20131126-WA0001.jpg
    IMG-20131126-WA0001.jpg
    66.3 KB · Views: 363
  • IMG-20131120-WA0004.jpg
    IMG-20131120-WA0004.jpg
    47.6 KB · Views: 300
nimekipendsa kitanda chukuwa laki mbili kitanda bila godoro japo hujasema kina ukubwa kiasi gani
 
nimekipendsa kitanda chukuwa laki mbili kitanda bila godoro japo hujasema kina ukubwa kiasi gani

size ya kitanda ni 5X6 mwisho nauza laki 280 bila godogo na 360 na godoro!!
 
hilo kabati ni mbao za kienyeji..au zile za kichina!?
 
hilo kabati ni mbao za kienyeji..au zile za kichina!?

sio za kichina nilinunua Italy material yake ni kama furniture za madukani but ipo tofauti ki uimara
 
Mbona hutandiki kitanda mkuu?? Ila ni kizuri sema kwa upande wangu ni kidogo maana mimi ni 6x8.
 
Unapatikana wapi mkuu, isijekuwa upo Msumbiji na sisi wateja tupo Sudan Kusini
 
Mbona hutandiki kitanda mkuu?? Ila ni kizuri sema kwa upande wangu ni kidogo maana mimi ni 6x8.

ha ha ha aaaaaah!! kutandika kitanda si lazima kaka muhimu usafi tu
 
Back
Top Bottom