Girland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2016
- 1,826
- 2,843
Ninauza furniture za ofisini, Meza 3 yaani Executive desk 1, Conference table 1 (ya watu 4), na reception table 1, Viti 7, vyote hivi bado viko katika hali nzuri.
Pia kuna Curtain blinds mbili, zulia na Partition ya ofisi milango miwili ya Aluminium.
Ofisi iko Mnazi mmoja Dar es salaam, vyote utapata kwa bei elekezi ya 3.9Million karibuni.