GWAMAKA USWEGE
JF-Expert Member
- Feb 23, 2023
- 1,965
- 7,243
Sanaa na anatumia vifaa vingi vya muziki. Japo miaka hii miwili SZA na Muni long nyota zimewaka zaidiH. E. R anajua sana yule dada
Sanaaa Muni long alikuwa ni writer mkali sana na anaimba ile pure RnBMuni long made for me ni balaa na nusu...
Ni kweli kwa sababu in 1990's kwa 2000's ndio ilikuwa Era ya RnB kwa hiyo wasanii wengi wakali walitoa best RnB songs. Ila kwa hao niliowataja naona ndio wanapambania RnB ya sasaTangiapo R&B za zamani naweza sema ndio nzuri zaidi na ndio maana hata playlist yangu yote ni za zamani!..
Mimi nnazo nyingi za HIPHOP 😬Nawewe uziweke sasa...😂
Old's RNB huwa zinanipeleka mbali sana yaan dah.. Nasikiliza huu now rmx ya Teddy SwimssView attachment 3334944 Nimekuwa nikiupenda huu wimbo toka nipo mtoto!, kweli kizuri ni kizuri tu..
Aisee mkuu umeniwahi , tangu jumatano nilikuwa nafikiria kufungua uzi ambao nitakuwa nashare nyimbo kali za RNB🙌✊I don't know what happened to me but this kind of music right now is kicking into my head!, maybe my age now is getting older!..😂
I now really love R&B for sure!, This kind of music is stimulating my medulla and relaxing my feelings.
So for those who loves R&B, let's join here and enjoy the beautiful of Rhythm & Blues..😉
View attachment 3334902
View attachment 3334903
I don't know what happened to me but this kind of music right now is kicking into my head!, maybe my age now is getting older!..😂
I now really love R&B for sure!, This kind of music is stimulating my medulla and relaxing my feelings.
So for those who loves R&B, let's join here and enjoy the beautiful of Rhythm & Blues..😉
View attachment 3334902
View attachment 3334903
Kwa era hii
1. SZA - Snooze
2. H. E. R - Damage
3. Giveon - lie again
4. Khalid - location
5. Muni Long - hours and Hours & made for me
6. Silk Sonic - Leave the door open
7. Ella mai - Trip
Wengine mtaongezea za sasa maana za zamani zipo kibao