For R&B lovers let's kick it

For R&B lovers let's kick it

Huyu mtoto anakitu ukiwa na sikio zuri utamuinjoi sana!, wasioolewa R&B nawaona kama wamekoswa kitu kwenye burudani
Asingeaga mapema ndio angekuwa malkia kwa kina beyonce
 
Ooops,those were the good dayz!
 

Attachments

Hii ngoma nimetambulishwa na mtoto mmoja wa kinaijeria, alivyonisikilizisha tu nikamwambia mama naiomba hiyo...😅

 
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom