Andika hivi;
[ COLOR=red ]nyumbani[ /color ].
Hakikisha huachi nafasi kwenye hayo mabano na maneno kuanzia na bano [ na herufi C na lile ] kati yake na herufi d mwisho.
Pia bano [ libanane na Alama /.Na bano ] libanane na r mwisho.
Mimi nimeàcha nafasi ili uweze kuona.
Hapo kwenye neno red uñaweza andika rangi yoyote unayotaka iwe.
Neno nyumbani limekaa kama mbadala wa neno lolote unalotaka liwe na rangi.
Asante!!