Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,109
- 1,249,100
Safi
Nimeweza
Nimeweza
Ww mtoto unatisha kama kirus cha Ebola,au ulisoma IT
Jamani mimi sijui kufungua uzi yaani kuanzisha thread hebu nipeni maujuzi basi maan nina umbea nimebaki kucoments![]()
NGOJA NIJALIBUkwenye alama ya sawasawa usiweke SPACE. Kama hivi
Mbona mimi inakubali