Habari zenu.
Nimekuwa nikijiuliza sana juu ya mahusiano kati ya mke na mume ndani ya ndoa kuna vitu nimeshinmdwa kabisa kuvipatia majibu. Naombeni mnisaidie ndugu zangu.
Eti for how long tunatakiwa kusamehe na kusahau kwa kosa ambalo ni la kulirudia? Namaanisha kwamba kama wewe unachukia mpenzi wako kufanya kitu flani na ukamwambia jinsi unavyoumia akifanya kitu hicho, kwa hali ya kawaida mimi nilikuwa ninafikiri kuwa ukishamwambia kikukeracho atajitahidi juu chini katikati pembeni ili asikifanye tena..... kumbe lah kuna ambao wao huwa ni kawaida
Mf. mtu mwenye tabia ya kuchelewa kurudi majumbani bila kutoa taarifa au tabia yake ya kutoka kwenda saluni bila kukuaga wala kutoa taarifa!
unatakiwa kusamehe kila anapolifanya kosa hilo au ?
Na je anapolirudia huiwa anamaanisha nini?
wewe mwenzi wako akiwa anakufanyia hayo utajisikiaje na utaamua kitu gani?
Tafadhali nisaidieni.
[/COLOR]
yaani nikae kwa wacwac nikiwaza jamaa ana nyumba ndogo? khaa huko ndio cpo kabisa, awe na ndogo au kubwa matumizi yangu na wanangu yako pale pale..na cmbani wala nini na hilo yeye analijua but kama hakieleweki ndani na me ctamuelewa....naomba ncendelee na huu mjadala nitaongea yacyostahili kuongelewa hapa....
wewe mimi msimamo wangu ni uleule nitairejesha kauli yangu.
Akina mama mnabadilika sana mkiolewa mnajisahau ukisha zaa mtoto ndo kwisha kabisa umodel wote unaupoteza nini kifanyike Nyamayao?
Tatizo la Nyamayao mbishi sana....nimeshuhudia nyumba ndogo inamlea baba na familia yake wewe acha bana kupenda kubaya dingi kahamia kabisa kwa nyumba ndogo inamlea kwa kila kitu mpaka inamwachia usafiri.
.....cha ufanya wacjiachie sana na cku hizi naona wanawake wanajitahidi wengi wakitoka uzazi wamenawiri tu sio kupoteza hali yake aliyokuwa nayo awali.
Ni kweli inakera pale mwenza anaporudia kosa hilo hilo mara kwa mara. Inapotokea hali ya 'kosa' kujirudia rudia mara kwa mara, then kuna kila sababu ya kuwa makini zaidi na kujichunguza wewe binafsi kama sehemu ya ndoa na kisha mwenza wako (Ili usijikute unataka kutoa kibanzi kwenye jicho la mwenzako wakati kwako kuna boriti!).
Usipokuwa makini unaweza kuwa unaaddress dalili za tatizo badala ya kuaddress tatizo lenyewe.Hivyo ni vema kufanya uchunguzi (positively) wa kutosha kabla ya kufikia conclusion ya either kuvunja mahusiano, kutoa 'adhabu' au kulipiza kisasi.
Kwenye ndoa kuna mambo mengi ambayo yanachangia wanandoa kubehave namna hii au ile. Kwa mtu wa nje si rahisi kujua mambo yanayoendelea ndani bali tunaona tu dalili kwa nje. Njia nzuri ya kuweza kujua kiini hasa cha tatizo ni kuongea na wanandoa (au kama ni wanandoa wenyewe kukaa chini na kureview mahusiano yao).
Hivyo MJ1, kama unataka (na unauwezo wa) kusaidia ndoa ya dadako, ni vema kwanza ukawa na neutral position na kujaribu kuongea na wote wawili kwa nyakati tofauti. Hii itakuwezesha kujua grivances za kila mmoja against mwenzake. Trust me hiyo tabia ya shemeji yako kuchelewa kurudi, kuna uwezakano mkubwa ni reaction towards tabia za dadayako!
Sawa lakini tunachojaribu kusema nyamayao, isiwe kama ni formula isiyobadilika kuwa lazima yeye slipe schools fees, bili za maji, umeme, etc, nguo, nk, na huku wewe pia una kipato, unakifanyia nini? why, once in a while usimwambia 'mwezi huu mi ntalipa bili, we lipa labda kodi ya nyumba' na vitu kama hivyo? Ukimkomalia kuwa matumizi 'yanamhusu' lazima kuna wakati 'atachoka' na ndo hapo vibinti venye hela zao vitamweka ndani kijumla...na matumizi utaendelea kupata, si ndo 'inamhusu'?
Nyamayao usiondoke.................
Ndo maana mimi iwa najiuliza mwanamke akisha zaa basi ndo anakuwa anakata tamaa? Maana angalia msichana mrembo mzuri mwenye mambo yetu yaleeee nayo yapenda akizaa tu kwisha kazi hata kuvaa inakuwa kazi anajiachia achia tu hivi mwanamke akisha zaa ndo mwisho wa kujipenda?
la hashaa, kwanini iwe ndio mwisho? sema majukumu yanaongezeka lakini unatakiwa ujipange uende sawa.
Baelezee komredi, unajua hivi vitu watu wanadhani havipo, lakini ukivikaribisha mbona kama ivo! sasa uyo dingi ataanzaje kurudi na kwa kipi hasa!😉
sasa hapo ukisha zaa basi hata huendi na wakati fashion ndo kama hivyo zinakupita kisa eti majukumu hivi kweli?
ndio maana nikasema unatakiwa kujipanga uwende sawa swity....majukumu kuongezeka haimaanishi na wewe ujiachie.
Duh mmefikia huku!
nyamayao mbona hii ni mada nyingine kali!! Hongera shost maana naona Fidel alivyokushikia bango.
BTW: Ningependa kuchangia kiduchuuu katika hili. Wanaume mnapaswa pia kuelewa kuwa mke kuwa na kazi si kigezo cha kuacha kumtimizia mahitaji yake muhimu kisa anazo pesa! Mkiweza pesa za wake zenu pangeni nao budget - kuwa mama pesa zako zitumie kwa hiki na hiki mie ntacover hili na hili but be smart jitahidi kucover yale ambayo ni muhimu zaidi mfano ada za watoto, kodi ya nyumba, umeme na hata mahitaji mengine ya familia kama matibabu n.k. Ya mama mwambie akave vitu vingine nyepesi vyepesi mf. saluni yake na watoto, creation, kuandaa birthday parties and presents, kununua zawadi za kupeleka kwenye mialiko tofautitofauti mliyoalikwa. Kwa nini nashauri hivi ili kuwasaidia kubakia kichwa cha nyumba kwani mama hatakuwa na sauti ya kujigamba kuwa yeye ndiye anayesomesha watoto, lipa kodi ya nyumba e.t.c. Heshima yako itadumu daima.
La sivyo utakuwa ukibwatuka bwatuka, mama anawaza kwanza nalifuga tu hili nyumbani hata- hata kodi halijui nalipa kiasi gani! hapa unabakia kichwa cha nyumba jina tu au watoto wa siku hizi wanasema 'mwanaume suruali'

Mkiweza pesa za wake zenu pangeni nao budget - kuwa mama pesa zako zitumie kwa hiki na hiki mie ntacover hili na hili but be smart jitahidi kucover yale ambayo ni muhimu zaidi mfano ada za watoto, kodi ya nyumba, umeme na hata mahitaji mengine ya familia kama matibabu n.k. Ya mama mwambie akave vitu vingine nyepesi vyepesi mf. saluni yake na watoto, creation, kuandaa birthday parties and presents
'mwanaume suruali'
Mwana wewe umeongea vizuri na jambo la msingi kwa kweli kama si mbolea hehehe sasa tatizo la Nyamayao ni kumchuna mmewe eti pesa anazo pata zote ni za kwake yeye Nyamayao hakuna cost sharing hata kiduchu mmewe huyo huyo amlipie pesa za salon,alipe vocha kwenye kimeo chake Nyamayao ampe nauli au amjazie mafuta wiki nzima kila kitu mmewe acover sasa hapo si kumchuna mmewe au unaonaje? ndo maana mm nikasema kama ndo hivyo ni bora ubaki nyumbani tu kama housegirl kuliko kusema unaenda kazini alafu mimi nagharamia kila kitu.
Duh mmefikia huku!
nyamayao mbona hii ni mada nyingine kali!! Hongera shost maana naona Fidel alivyokushikia bango.
BTW: Ningependa kuchangia kiduchuuu katika hili. Wanaume mnapaswa pia kuelewa kuwa mke kuwa na kazi si kigezo cha kuacha kumtimizia mahitaji yake muhimu kisa anazo pesa! Mkiweza pesa za wake zenu pangeni nao budget - kuwa mama pesa zako zitumie kwa hiki na hiki mie ntacover hili na hili but be smart jitahidi kucover yale ambayo ni muhimu zaidi mfano ada za watoto, kodi ya nyumba, umeme na hata mahitaji mengine ya familia kama matibabu n.k. Ya mama mwambie akave vitu vingine nyepesi vyepesi mf. saluni yake na watoto, creation, kuandaa birthday parties and presents, kununua zawadi za kupeleka kwenye mialiko tofautitofauti mliyoalikwa. Kwa nini nashauri hivi ili kuwasaidia kubakia kichwa cha nyumba kwani mama hatakuwa na sauti ya kujigamba kuwa yeye ndiye anayesomesha watoto, lipa kodi ya nyumba e.t.c. Heshima yako itadumu daima.
La sivyo utakuwa ukibwatuka bwatuka, mama anawaza kwanza nalifuga tu hili nyumbani hata- hata kodi halijui nalipa kiasi gani! hapa unabakia kichwa cha nyumba jina tu au watoto wa siku hizi wanasema 'mwanaume suruali'
Ngoja nifikirie nitarudi....
ndio tumefikia huku MJO...huyu Fidel utamweza bac.......kwangu mie sio kumuita mwanaume suruali, mie nachukulia hayo mambo kama ni wajibu wake kabisa kabisa, nitamsaidia pale inapobidi na iczoeleke, mana ukimzoesha ndio yatakuwa kama ya sis ulivyosema ikifika mwisho wa mwezi jamaa hatoi ma2mizi lakini sis angemzoesha kwamba ni wajibu wake mbona wangeenda sawa tu.