For gamers only PS3, PS4, Xbox one, Xbox 360 na all PSP

For gamers only PS3, PS4, Xbox one, Xbox 360 na all PSP

Soory sikuwa online ok let me show you pictures kwa ps4 hapa muone nachoongeea ila jua with our unlock tool uta download ps4 games bureeeeee
View attachment 468143 View attachment 468144 View attachment 468145 View attachment 468146

Mwisho ni wewe ukiwa mteja wetu utajua ilo uwe kwenye firmware 4.06 kabla hii mpya ya 4.07 Thanks ilo tu naweza kuwaambia kwa saivi uki unlock kwetu utakuwa shaidi na ww kuleta post hapa
That's all karibuni

Those are just screenshots za ps4 ukiwa unapakua games na themes kwenye ps store..., acha utapeli hamna Jailbreak hapo
 
Screenshot_2017-03-14-06-28-48.png
 
ps3 mini yangu haiplay cd games ila zingine nawezaje kurekebisha hii shida kama kuna fundi ani pm wakuu
 
ps3 mini yangu haiplay cd games ila zingine nawezaje kurekebisha hii shida kama kuna fundi ani pm wakuu
Nnayo slim moja ina tatizo hilo hilo, Blu ray games zote zinaleta errors ukifungua ila ukiweka DVDs, CDs nyingine kama za vids au music zinakubali, na games za ku download kutoka PSN zinakubali.
 
Una unlock model za console zote za ps3?
 
LIST ZA FREE GAMES TWAKUPATIA AFTER UNLOCK

XBOX 360

View attachment 467527 View attachment 467526 View attachment 467525
ANGALIA VIDEO HAPO KWA KUELEWA ZAIDI PS4 NA XBOX ONE DOWNLOAD VIDEO HAPO CHINI

TUNA UNLOCK AU JAILBREAK IZO CONSOLES HAPO KULINGANA NA KICHWA CHA HABARI HAPO JUU KWA BEI NAFUU PAMOJA NA FREE GAMES AFTER UNLOCK/JAILBREAK UKITAKA ONGEZA ZINGINE GAMES KWA PS3 10000 MOJA TO 20000 DEPENDS ON SIZE OF GAME 5000-7000 PS VITA 10000-15000 XBOX 360
INGIA KWENYE PAGE YETU YA OFISI FACEBOOK.COM/Darps3jailbreak
BEI TUMA MESSAGE HUKO KWENYE PAGE YETU TUTAKWAMBIA KILA KITU AU TUMIA 0625487123

Mkuu E3 flasher inapatikana hapa bongo?
 
Mkuu E3 flasher inapatikana hapa bongo?
Eflasher kuna jamaa wanazo pale kariakoo contact zao sina simu nili format ,ila sijui kama wanauza nachojua ukienda wanakuwekea moja kwa moja pesa isiwe chini ya 100k
Watafute fb wapo Mara ya mwisho nilikuwa na search ps3 jailbreak dar I think ndo nilipata namba zao uko
 
wakuu Ninauza Xbox 360 kinect ninazo tatu na games zake za kutosha...mwenye uhitaji anicheki
 
Ok
 
mkuu hebu nielekeze vizuri...sielewi haya madude yanatofautiana nn kati ya x box one,360,ps4..etc
wakuu Ninauza Xbox 360 kinect ninazo tatu na games zake za kutosha...mwenye uhitaji anicheki
 
mkuu hebu nielekeze vizuri...sielewi haya madude yanatofautiana nn kati ya x box one,360,ps4..etc
Mimi kwangu naona hakuna utofauti wowote Kati ya Xbox one na ps4 ingawa watu wengine wanaona ps4 ina resolution nzuri zaidi. Ila ni kwamba watu wameizoea zaidi PlayStation kuliko Xbox.
Tukija kwenye Xbox 360 yenyewe niya nyuma kidogo . Unaweza kuilinganisha na ps3 ndio zinaendana
 
mkuu hebu nielekeze vizuri...sielewi haya madude yanatofautiana nn kati ya x box one,360,ps4..etc

Tofauti zipo nyingi nyingine moja wapo kuna games zipo PlayStation Xbox huzikuti na baadhi zipo Xbox kwenye PlayStation huzikuti kama Halo games za Xbox ila bado PlayStation wanatoa games nyingi compared to Xbox kama hii Mpya Horizon zero down IPO ps4 only hata PC au Xbox haipo.
 
Back
Top Bottom