Kweli kabisa, na sidhani kama bila graphic card linakubali, mwanzo ni pagumu hasa pale kipindi unakimbizwa nilipata shida sana, kwa yule jamaa anayeshuka toka juu..
Laptop yangu ina 4gb of Ram, intel core i5, 2.67GHz, 600gb HDD, Windows 7 home premium 64 bit. Aina ya Toshiba Satellite M645. Je litacheza vizuri ilo game?