Wakuu.
mengi yameongewa kuhusu kuvuliwa nyadhifa zao zote za kiuongozi Zitto, Kitila na Mwigamba kwa tuhuma za kuwa na mkakati waliouita wa mabadiliko 2013 na kuonekana wasaliti
Naomba tuweke kando kwanza tuhuma zingine za nyuma kama ambavyo zimeainishwa kwenye waraka ulioitwa wa siri wa kumchunguza Zitto ulionezwa mitandaoni hivi karibuni
Pia tuweke kando tuhuma nyingine za kumuhusisha Zitto na kupitisha wagombea wa CCM bila kupingwa kwa janja yake
Hapa naomba tujadili huu waraka wa mabadiliko 2013 una matatizo gani na unavunja vipi katiba ya CDM hadi kupelekea kuvuliwa wadhifa
Kimsingi kugombea uongozi ni mchakato unao hitaji kujipanga na mikakati na kutafuta watu wa kukusapoti
Kwa jicho langu waraka huu ni mkakati wa kujipanga kwaajili ya kuja kugombea MM kama alivyoainishwa kwenye waraka
Je katiba ya CDM hairuhusu mtu kujiandalia mkakati wa kugombea uongozi
Je ni kosa linalo stahiki cheo cha kuitwa msaliti na kustahiki adhabu ya kuvuliwa uongozi na uanachama
Narudia tena kugombea uongozi popote pale ni swala mchakato unaoambatana na kumjua mshindani wako na namna ya kupambana naye................hiki ndicho ninachokiona kwenye waraka huu wa mabadiko
Tujadili bila kejeli dharau......... Hapa ni hoja tu