For all singles out there (valentine humorous)

Dah sisi ambao hatujui lugha ya malikia lazima tutoke kapa
 
Eti send yourself a bunch of flowers.
kazi kweli kweli
 
Daby, wengine hatujui lugha hivi umesema nini vile, kiswahili tafadhali
 
Daby, wengine hatujui lugha hivi umesema nini vile, kiswahili tafadhali
Haha... hii lugha ilikuja na mashua mkuu hapo kwenye kiswahili nimeandika mimi..

Hiyo ya kigeni kaandika "mama klaree".
 
Ooouh yeah.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…