Keanza atakuwa amecheza chini ya kiwangoBahati nzuri ananijua fujo zangu..
Yahni tukilala tulale wote tukiangalia TV tuangalie wote...
Mm sipo tayari kuangalie TV yeye alale kama kachoka sana huo muda wa kuangalia TV ni bora nimkande kande hivi kumuondolea uchovu.
Money Penny hujambo.shemeji ni wewe uko na jina refu hivi?
TehtehEbwana iki kibonge Mima white cute nakuambia nikama Asali !!.
God was showing off when he created her , swala nitano ,fulu kujifunika mpaka kucha[emoji23] [emoji23]
[emoji122] [emoji123] shout out kwako mkuu !!.Tehteh
All the best guys.
ha ha has silimu tu uwe shehe maana hakuna namna .Mayoooooo Mima white cute ,mbn Mimi niwaziwan huko Victoria kwahaya mambo mmmmhhh ndo maana nakumisimo.
Inabidi nisilim niwe Sheikh
oh yeah... nimeozesha mtoto last month wa kiume!Hongereni 25 ya ndoa? Real?
Hahahahah eti *Buibui* mpaka chini looohhhh!!. Sio Baibui? Au mie ndo sijuiha ha has silimu tu uwe shehe maana hakuna namna .
Sasa tukitoka ww una kanzu na balakhashia.
Mm kama kawaida yangu buibui mpaka miguuni bila kusahau na ushungi wa kiharat yahni.
sijambo mbona unatubadilishia jina tenaa?!Money Penny hujambo.
Watu wa dar ndio wanaita Baibui ...ila kule kwetu zenji tunaita Buibui hivyo sijakosea nimeongea rafudhi ya ZnzHahahahah eti *Buibui* mpaka chini looohhhh!!. Sio Baibui? Au mie ndo sijui
Mima white cute umechemka vibaya kwa kuchapia
Kubadilisha kivipi ?.sijambo mbona unatubadilishia jina tenaa?!
Looohhhh nitajuaje mambo hayo wakat natokea ziwani huko[emoji23] [emoji23]Watu wa dar ndio wanaita Baibui ...ila kule kwetu zenji tunaita Buibui hivyo sijakosea nimeongea rafudhi ya Znz
Ha ha ha haaaaa usijari upo na mima akiaharibiki kitu...tunafundishana ya bara na pwani ha ha haaaaLooohhhh nitajuaje mambo hayo wakat natokea ziwani huko[emoji23] [emoji23]
basi labda sio wewe uliokuwa unatumia jina la Vladmir PutinKubadilisha kivipi ?.
KwakwakwaaaAll my life I've prayed for someone like you,Yes i pray that you do love me too!
Hahahahah umecheka mpaka nimeona kicheko katika maandishi yako kiasi kwamba namm nmechekaNimerudi kusoma huko juu nimecheka mno..hahaa haaaa hatariii eti ukichelewa kujibu message tu MTU anachukulia advantage.Haaa na hapo ananuna mpaka tar 16 ndio unasamehewa maisha yanaendelea hatariiiiii
Mmhhhh hii Vladimirovich Putin ndio ID yangu Mimi hapa .basi labda sio wewe uliokuwa unatumia jina la Vladmir Putin
BASI MPO WAWILIMmhhhh hii Vladimirovich Putin ndio ID yangu Mimi hapa .
Ila Wangu iyo Zanzibar vipi ,,Usijali unasema usijari[emoji23] [emoji23] [emoji23] .Ha ha ha haaaaa usijari upo na mima akiaharibiki kitu...tunafundishana ya bara na pwani ha ha haaaa