Pubg King
Member
- Apr 30, 2020
- 21
- 3
Habari za jioni waheshimiwa wote humu ndani, nilikuwa nikiwaza ukienda youtube utaonda watu wameunda channel zao mbalimbali za games ambazo is very interesting pia wana community wanao submit clip zao mfano Pugb tv and wengineo. Mfano, hao jamaa wanapoke clips za fans zao na kuzi upload kama vile funny momets, kills, etc.
Nami na jamaa wangu tumeamua tufanye kitu icho icho leo, ila channel yetu ina husu sana GMV, ambazo ni gaming music video, tunachofanya ni ku combine best memonts za games trailers etc na kuweka music background.
Moja tuliyo upload leo ni hii
chukua 2 minutes kutazama pia wasilisha maoni yako. lengo tungependa hii channel izidi kuwa kubwa zaidi hivi tunaitaji gamers ku subs hata kama sio gamers hizi videos ni very interesting kutazama unapokuwa na mda, wote mwakaribishwa, pia tunahitaji maoni yenu