Zero Star
JF-Expert Member
- Mar 22, 2018
- 4,275
- 8,669
Betting/bahati nasibu ni biashara kama biashara nyengine tu sema hii ni kamari ,matajiri wamewekeza uko pesa zao nyingi na kuna watu wanaishi na kuendesha maisha yao kwa hii biashara.Betting sio Biashara ni bahati nasibu
Kwa muktadha huo....kuna muda muekezaji anapata faida na hasara,hakuna biashara ambayo inafaidisha upande mmoja.