mojoki
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 1,313
- 291
Mungu akupe akili kama Iniesta, upole kama Messi, umakini kama Xavi, bahati kama
Beckam nidhamu kama Gerrard, tabasamu kama Gaucho na utajiri kama Etoo".
Ila akuepushe na utukutu kama Balotelli, dharau kama C. Ronaldo, matusi kama Rooney,
ugoni kama Prince Boateng, ugomvi kama Gatusso, uchawi kama Furgeson, jeuri kama
Tevez, tamaa kama Nasri, sifa kama Drobga, ubaguzi kama Suarez, kejeli kama Morinho,
roho mbaya kama Pepe, bahili kama Wenger.
Source: nimeiba fb bila kibali cha mhusika