Food scientist natafuta kazi

solanum

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
203
99
Habari zenu wakuu,

Mimi ni kijana wa kiume mchapakazi, mbunifu na ninajali muda nina bachelor degree of science in food science and technology natafuta kazi na nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote. Nipo Dar kwasasa, napatikana muda wowote 0758 106 501
 
Solanum incunum. Nimekumbuka mbaaali sana. Kila la kheri katika utafutaji wa ajira.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom