Kamilius S Boniface Member Joined Feb 10, 2017 Posts 21 Reaction score 6 Feb 15, 2017 #1 Fonolojia ni sayansi.Jadili
sajumo JF-Expert Member Joined Nov 20, 2013 Posts 1,834 Reaction score 1,056 Feb 17, 2017 #2 dah unaturudisha skuli mkuu maswala ya kuandika essay wengine tumeacha kusoma miaka kadhaa iliyopita huu ni mtihani
dah unaturudisha skuli mkuu maswala ya kuandika essay wengine tumeacha kusoma miaka kadhaa iliyopita huu ni mtihani
Titty JF-Expert Member Joined Aug 31, 2016 Posts 571 Reaction score 912 Feb 18, 2017 #3 Hapo ki ufupi ni sayansi kwasababu inatumia organs kama vocal code, labio kama b, p, dental thi lungs, nasal kama m, n. Labio dental f, v etc
Hapo ki ufupi ni sayansi kwasababu inatumia organs kama vocal code, labio kama b, p, dental thi lungs, nasal kama m, n. Labio dental f, v etc
Mibas JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 4,213 Reaction score 6,388 Feb 19, 2017 #4 Titty said: Hapo ki ufupi ni sayansi kwasababu inatumia organs kama vocal code, labio kama b, p, dental thi lungs, nasal kama m, n. Labio dental f, v etc Click to expand... Vitu hivyo nilishavisahau siku nyingi.
Titty said: Hapo ki ufupi ni sayansi kwasababu inatumia organs kama vocal code, labio kama b, p, dental thi lungs, nasal kama m, n. Labio dental f, v etc Click to expand... Vitu hivyo nilishavisahau siku nyingi.
Ruqaiyah JF-Expert Member Joined Sep 14, 2015 Posts 1,119 Reaction score 1,484 Feb 19, 2017 #5 Fonolojia au Sarufi Matamshi ni tawi la sayansi ya isimu. Inashughulikia uchunguzi wa mfumo wa sauti katika lugha fulani, kwa mfano ugawanyaji wa irabu na konsonanti .
Fonolojia au Sarufi Matamshi ni tawi la sayansi ya isimu. Inashughulikia uchunguzi wa mfumo wa sauti katika lugha fulani, kwa mfano ugawanyaji wa irabu na konsonanti .