Fomu za urais wa shithole

Fomu za urais wa shithole

Hivi wangeenda kuzibeba hizo karatasi kwa Land cruiser 2 au 5 na walinzi wao, kenge wasingetiki oktoberi?

Just curious tu wandugu, povu ruksa
Imekua chauma hio ebu tutolee upuuzi huko.
 
Yaan Kila kitu kinawaumiza 😃😃
Mpk ela wanazopewa taifa stars zinawekera huu mwaka msipopata sonana cjui 😃😃😃
 
Yaan Kila kitu kinawaumiza 😃😃
Mpk ela wanazopewa taifa stars zinawekera huu mwaka msipopata sonana cjui 😃😃😃

Najifunza unyani mkuu wala usiwe na hasira, kukereka na unyani si ni matumizi mabaya ya kukereka sasa?
 
Tuliza kikomwe mkuu yapo mambo yamaana yakushauri tu huku unapiga zogo bure...😂

Wala usijali, napata entertainment tu huku nakunja $$ taratibu, naachaje sasa kutazama comedy ya mama bando langu mwenyewe? Sio lazima muda wote nishauri ya maana, kuna muda unapumzisha akili kwa kutazama channel ya rostam
 
Protocol gani upuuzi tu huko protocol zilipoanzia hawana huo upuuzi we ndiyo unazijua sana protocol!
Kama unaona hata huko walipoanzia hawana protocol za kazi basi wewe ni zwazwa la mwisho!,
 
Tunapambana kulazimisha tuonekane tunapendwa na tunaungwa mkono.

We ulisikia wapi watu wanahamasishwa kushangilia rais akiwa anaingia? Kama mtu anapendwa si atashangiliwa kwa hiari?
 
Back
Top Bottom