Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

Nnaombeni kujuzwa hivi join instructions za form five Ni kuwa unachukua internet na ku'print au wanakutumia kwenye p.o.box la mzazi?
 
Nnaombeni kujuzwa hivi join instructions za form five Ni kuwa unachukua internet na ku'print au wanakutumia kwenye p.o.box la mzazi?
Ukisubiri katumiwa kwenye sanduku la posta utasubiri sana, download hizo za mtandaoni ambazo nyingi ni za mwaka jana. Chukua namba ya simu, wapigie uwaombe wakutumie joining instructions ya mwaka huu kupitia whatsapp au kwenye email, watakutumia haraka sana.
 
Mbona
Kwa ndugu zangu waliochaguliwa kidato cha Tano, usihangaike kujua nini kinahitajika shule uliyopangiwa, it's just a simple thing, fungua hiyo link hapo chini.

***Best Wishes Brothers & Sisters**​

ARUSHA
DAR ES SALAAM
IRINGA
KATAVI
KIGOMA
KILIMANJARO
LINDI
MANYARA
MARA
MBEYA
MOROGORO
MTWARA
RUVUMA
SHINYANGA
SIMIYU
TABORA
TANGA
Mbona ya same secondary haipo??
 
Changarawe secondary school..Ipo mkoa wa Iringa
My Email Bkisiga@gmail.com
Na
Chang'ombe High School ipo Temeke
hapo naiyona changombe demostration.. vp ndo hiyo.. angalia hapo!
Screenshot_2017-06-17-13-49-27.png
 
Back
Top Bottom