Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

nitoe taarifa kidogo.. wengi wanalalamika kuwa tarehe kwenye joining instruction ni ya mwaka jana... sasa niseme kuwa mimi kazi yangu ku'download lakin ishu ya ku'update tarehe kwenye joining ilikuwa kazi ya shule.. kwahiyo kwa wenye wasi wasi wanaweza kuitumia kwa kuangalia tu vitu vya muhimu kwenye shule husika halaf wakasubiria updating itakayokuja..!!!
 
Dah yaani mkuu handeni ndo haipatikani kabisa sasa nitafikaje huko
hapo ninachoshauri hebu fanya mawasiliano kama una ndugu tanga aende pale shule kuulizia... sio ishu kubwa mkuu..!!!
cha muhimu kujua vinavyohitajika tu..!
 
Back
Top Bottom