Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

Msaada kwa shule ya Mbeya, jina la shule mwakaleli nimejaribu kufungua haifungiki hyo joining instructions
 
Bro mbona IYUNGA TECH. SCHOOL ya mbeya siioni namba yangu ya whwtsap n 0745023461 mxaada plz
 
Naomba mwenye Fomu ya kujiunga(Joining Instruction) kwa shule ya Pius Msekwa ipo wilaya ya Ukerewe anipatie tafadhali
 
Kwa ndugu zangu waliochaguliwa kidato cha Tano, usihangaike kujua nini kinahitajika shule uliyopangiwa, it's just a simple thing, fungua hiyo link hapo chini.

***Best Wishes Brothers & Sisters**​

ARUSHA
DAR ES SALAAM
IRINGA
KATAVI
KIGOMA
KILIMANJARO
LINDI
MANYARA
MARA
MBEYA
MOROGORO
MTWARA
RUVUMA
SHINYANGA
SIMIYU
TABORA
TANGA
....nimekodoa sana hapa....NWANZA je??
 
NAFASI ZA MASOMO
 

Attachments

  • NACTE%2520Sifa%2520za%2520kujiunga%2520na%2520mafunzo%2520ya%2520Ualimu%2520080617.pdf
    123.9 KB · Views: 208
weka jina la shule mkoa ilipo shule na njia unayotaka kutumiwa join instruction iwe kwa email au whatsapp nikutumie naona vijana wanapata shida sana...!
 
Back
Top Bottom