Wakuu,
Msaada please, aliye na Fomu (form) za kufungulia shauri kwenye tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) naomba anirushie hapa. Natafuta soft copy sababu hard copy inachangamoto zake kuijaza. Ukiwa na CMA form number one ama two (yoyote uliyonayo) tafadhali nakuomba unitumie.
Natanguliza shukrani