Fomu ya kuomba kugombea inachukuliwa kwa nani na kurudishwa kwa nani!?

wewe mkuu w wiraya,waulize viongozi wako kwa nini mgombea alisubiri mpaka siku ya mwisho?
maswali kama haya mnaogopa kuyauliza,kazi kulalamika tuu
 
Kwani kuna siku ngapi za kurudisha fomu……..Changes nchi sio kwa kizazi cha sasa…..
 
Yaani sikumuelewa kabisa Yule jamaa aliposema kwamba fomu ziliporwa na mtu akakimbia nazo halafu baadae akaendelea eti wakampigia simu kumtaka awasaidie fomu zipokelewa.
Hawa watu mi wakupiga risasi kabisa ie huyo jamaa wa neki
 
wewe mkuu w wiraya,waulize viongozi wako kwa nini mgombea alisubiri mpaka siku ya mwisho?
maswali kama haya mnaogopa kuyauliza,kazi kulalamika tuu
Siku ya mwisho ni sawa. Lakini je, hiyo siku ya mwisho ni muda gani? Kama alipitiliza muda wa mwisho, hakuna jinsi.
 
Back
Top Bottom