Fomu namba 69 na 70 za uthamini wa ardhi na makazi

MY LOVE

Senior Member
Oct 17, 2012
161
68
Naombeni msaada kwa anayejua tofauti ya hizi fomu mbili.
Je zina tumika zote kwa pamoja? na ni wakati gani wa uthamini?
 
Okey ni Hivi Land Form namba 69 inamfahamisha mmiliki wa ardhi kuwa ana haki ya kuomba fidia kwa madhara yeyote ama uharibifu uliotokana na kitend cha serikali kuchukuwa ardhi yako na ile no. 70 ndio form yenyewe sasa ambayo utaijaza mkuu....
For more check me on PM
 
Yaaaaah hivi ndivo ilivo!this ans is definately from a Land valuer
 
Back
Top Bottom