Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,143 Reaction score 136,966 Apr 27, 2015 #1 Huyu kipusa kanifanya nipende sana kuangalia taarifa za habari za Al-Jazeera. Huwa sichoki kabisa kumwangalia. Mdada ana ngozi nyororo yenye rangi ya chungwa. Acha tu niendelee kumfaidi vicariously maana sina jinsi.
Huyu kipusa kanifanya nipende sana kuangalia taarifa za habari za Al-Jazeera. Huwa sichoki kabisa kumwangalia. Mdada ana ngozi nyororo yenye rangi ya chungwa. Acha tu niendelee kumfaidi vicariously maana sina jinsi.
D Dina JF-Expert Member Joined Sep 18, 2008 Posts 3,248 Reaction score 1,818 Apr 27, 2015 #2 Hivi rangi ya chungwa huwa mnamaanisha hii? Ngoja niitafute habari nimtazame vyema...
platozoom JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 9,548 Reaction score 11,517 Apr 27, 2015 #3 Ewaa...nami namzikia sana, has a macho na mdomo. Demu wangu huyu, Nyani ngabu tafadhali
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,143 Reaction score 136,966 Apr 27, 2015 Thread starter #4 platozoom said: Ewaa...nami namzikia sana, has a macho na mdomo. Demu wangu huyu, Nyani ngabu tafadhali Click to expand... Hahahaaa aisee hapo lazima tutakorofishana aisee. Halafu yupo hewani sasa hivi.
platozoom said: Ewaa...nami namzikia sana, has a macho na mdomo. Demu wangu huyu, Nyani ngabu tafadhali Click to expand... Hahahaaa aisee hapo lazima tutakorofishana aisee. Halafu yupo hewani sasa hivi.
platozoom JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 9,548 Reaction score 11,517 Apr 27, 2015 #5 Nyani Ngabu said: Hahahaaa aisee hapo lazima tutakorofishana aisee. Halafu yupo hewani sasa hivi. Click to expand... Kama sikosei ana asili ya Guinea au Ghana! Huyo na Isha Sissey wa CNN nawafaidi kwa macho tu.
Nyani Ngabu said: Hahahaaa aisee hapo lazima tutakorofishana aisee. Halafu yupo hewani sasa hivi. Click to expand... Kama sikosei ana asili ya Guinea au Ghana! Huyo na Isha Sissey wa CNN nawafaidi kwa macho tu.
TUPACified JF-Expert Member Joined Feb 27, 2015 Posts 1,367 Reaction score 604 Apr 27, 2015 #6 Nishaangalia sana halí ya hewa CNN kwa ajili tu ya Jenifer Delgado. Nishafuatilia sana pia habari CNN kumuona tu Isha Sesay. Nilipokua nikashindwa kuchagua mmoja, ikabidi niwaache wote.
Nishaangalia sana halí ya hewa CNN kwa ajili tu ya Jenifer Delgado. Nishafuatilia sana pia habari CNN kumuona tu Isha Sesay. Nilipokua nikashindwa kuchagua mmoja, ikabidi niwaache wote.
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,143 Reaction score 136,966 Apr 27, 2015 Thread starter #7 platozoom said: Kama sikosei ana asili ya Guinea au Ghana! Huyo na Isha Sissey wa CNN nawafaidi kwa macho tu. View attachment 247284 Click to expand... Folly ana asili ya Guinea.
platozoom said: Kama sikosei ana asili ya Guinea au Ghana! Huyo na Isha Sissey wa CNN nawafaidi kwa macho tu. View attachment 247284 Click to expand... Folly ana asili ya Guinea.
Mkubwa ndevu JF-Expert Member Joined Feb 17, 2011 Posts 1,043 Reaction score 358 Apr 28, 2015 #8 mm kwa folly ni hoiiiii
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,612 May 5, 2015 #9 haha haaaa