MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 10,138
- 15,091
Kweli mzee, kuna changamoto huku
Wema ulimuona huko? Atakuwa kanunaje baada ya kukatwa!
tupia pichaWadau huko mlipo tunaomba updates za watoto mnaowaona kwenye foleni za bvr wakali ama huku ninakoandikishwa naona kama watoto wa geti wamefunguliwa
Hapa ninajipa kazi ya kupanga watu kuna vifaa viwili naweka mtego
hii nikweli mkuu imesababisha napanga foleni mara ya nne sasa japo ID nshapata
teh teh teh...sasa ukikaribia mlangoni unafanya nini??angalia tutakukamata
najifanya kama napokea simu then nasogea pembeni na act kama naongea nikimaliza naanza upya kwenye mstari
najifanya kama napokea simu then nasogea pembeni na act kama naongea nikimaliza naanza upya kwenye mstari
hahaaa
watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa