Foleni Ya Kufa Mtu

Nimependa jinsi wanavyoheshimu umbali toka gari moja mpaka jigine, Hapo Dar inakuwaga ziro distensi
 
Ni kweli hii ni foleni kubwa lakini ina mpangilio (orderly). Nakubaliana na wewe kwamba kama ingekuwa ni Dar basi ingekuwa balaa tupu. Humohumo kungekuwa na vichaa wa bodaboda (pikipiki), mikokoteni, baiskeli bila kusahau daladala zinazotanua.
 
Bado foleni ni tishio kwa miji mingi check hii nayo

Na bado huo mnyororo ulikamata mpaka jioni/usiku

Kwa bongo subiri mvua inyeshe ndo utakiona cha moto!
 
halafu hakuna hata bar pembezoni, ushtue kidogo wakati unasubiri foleni iishe
 
Ni kweli hii ni foleni kubwa lakini ina mpangilio (orderly). Nakubaliana na wewe kwamba kama ingekuwa ni Dar basi ingekuwa balaa tupu. Humohumo kungekuwa na vichaa wa bodaboda (pikipiki), mikokoteni, baiskeli bila kusahau daladala zinazotanua.

We call this a full "traffic democracy"!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…