Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimependa jinsi wanavyoheshimu umbali toka gari moja mpaka jigine, Hapo Dar inakuwaga ziro distensi
Usifanye mchezo na milioni moja.... si unaona inavyo niwezesha??Hiyo ni Yard ya Bujibuji
hii ni wapi?sio barabara ya kimara hii
si bora utembee kwa mguu tu
Kimara Kona!
Hako ka-barabara ka pembeni kulia ndio kimara...hii ni wapi?sio barabara ya kimara hii
Ni kweli hii ni foleni kubwa lakini ina mpangilio (orderly). Nakubaliana na wewe kwamba kama ingekuwa ni Dar basi ingekuwa balaa tupu. Humohumo kungekuwa na vichaa wa bodaboda (pikipiki), mikokoteni, baiskeli bila kusahau daladala zinazotanua.
somebody is missing you......