Foleni ya Kibaha Chalinze itaisha lini?

Foleni ya Kibaha Chalinze itaisha lini?

The lariat

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2025
Posts
1,354
Reaction score
1,912
Huwa nasikia awamu hii imefanya mambo makubwa. Kuna hii barabara inayounganisha bandari ya Dar na mikoa karibu yote nchini, lkn pia nchi jirani zinazotumia bandari yetu.

Cha ajabu ni kwamba barabara ya Kibaha Chalinze bado ni nyembamba sana hivyo kusababisha foleni kila siku.

Sasa hivi inachukua sii chini ya masaa matatu kutoka Chalinze hadi Kibaha.

Mawaziri wapo, Tanroads ipo, pesa za mikopo zipo. Tatizo liko wapi?
 
ukiachana na kuchukua hayo masaa matatu imeshakuchua maisha ya wengi
 
Back
Top Bottom