Foleni ya BVR noma.

Foleni ya BVR noma.

attachment.php

Duh hii sasa hatareee.

Njoo mtaani kwetu tujiandikishe mkuu.
 
wengine wanajitafutia kubakwaa hadharani..
 
Hhaaaaaaaa ni mojawapo ya kuwafanya watu wakajiandikishe! Hapo hata akija mtu akakuomba upite mbele ukaandikishwe uondoke lazima utakataaa tu. MANI na zumbe njooni mmuone Mkuu wa Wilaya! Sijui kwanini JK hakumkumbuka
 
Last edited by a moderator:

Mpwa kituo hiki nadhani foleni yake hainde kabisa. Ngoja awamu ya tano anaweza kupata u DC.
 
Last edited by a moderator:
Hili sio changa la macho! Hiyo ni BVR kweli? Naona hapo kando kama ni basi hilo. Ama kituo cha kujiandikisha ni ndani ya basi
 
Heaven, I do not think that this real! Mtu hawezi kuvaa hivi hadharani. Kwa ulaya wanavaa hivi tunawaona, huku sidhani, labda Joly Club

Haaaa ni kweli chaukakara, mie jana nimekutana na mdada maeneo ya Magomeni alivovaa hiko ki tight halafu ye cha wavuwavu sasa na ilikua mchana wa jua kali
 
Haaaa ni kweli chaukakara, mie jana nimekutana na mdada maeneo ya Magomeni alivovaa hiko ki tight halafu ye cha wavuwavu sasa na ilikua mchana wa jua kali
Looooh! Basi bwana, lakini mimi niko that much liberal, freedom of attire! acha kila mmoja avae anavyotaka as long as it is not against the law.
 
Mkuu hapo lazima ile namba yako uliyoidamkia saa 8 usiku umpe yeye ili awe mbele yako, halafu hakuna kubanduka. Ahahahahaaaa

Tunaamka nae saa 8 usiku tunaenda kusubiri foleni pamoja
 
Back
Top Bottom