Foleni Ubungo - Tazara

complex31

JF-Expert Member
Jun 15, 2016
379
1,208
Wanaotumia barabara ya Mandela kuna foleni ndefu na gari hazisogei kuanzia Ubungo Kinyerezi mpaka Buguruni.

IMG_2755.JPG
 
Alternatives

kama unaend buguruni, jaribu pita sinza, ingia mabibo tokea kigogo kisha buguruni

wale wa kinyerezi better wapite shekilango waingie ubungo mziwa watokee extenal kisha waingie njia ya jeshi kiskulu
 
Driver ananambia toka sa 8 mpaka sasa hivi 12 na robo bado yuko folen mabibo hostel, sijui nini shida huko mbele
 
Uzuri watanzania hata kwenye foleni kama hii hatuwezi kujiongeza wenyewe na kutatua tatizo mpaka waje nyange nyange.
 
Back
Top Bottom