Msimbazi Imefungwa, Kipande cha Kamata mpaka Jiapanda ya Uhuru. Mabasi ya Kkoo yanageukia Kamata. ndio sababu.
Khaa!! Wewe unafanyakazi posta lakini unaishi Pugu kisa eti unaona sifa kuitwa father house. Tumia akili kaa chini piga hesabu za muda na gharama unazopoteza kila siku kusafiri. Mbona huku posta nyumba za kupanga ni nyingi tu. Usiishi maisha ya mstaafu ilihali bado unachapa kazi bana
Khaa!! Wewe ndiyo una mawazo finyu mbona wengi tu wana ndinga na mijengo ya maana nje ya mji lakini wameiacha na wameamua kupanga bedroom 2 tu. Kama unajali muda wako na kazi yako unachoice 2 ama upange katikati ya jiji au ununue japo Robison 22 kukabiliana na maisha halisi ya Dar. Vinginevyo ni kujidanganya na kujitesa tuacha mawazo finyu, mwenzako anaishi kwake na istoshe ana ndinga tatizo liko wapi hapo
Habari wa JF,
Aliyefika mjini, aliyepita Nyerere Road atujuze; hivi kuna tatizo gani huko mbele? Maana foleni ya kuelekea mataa ya Chango'mbe kutokea Nyerere Road imeanzia hapa Tazara, halafu haitembei.
Aisee hapo kuna wiki 2 au zaidi ngumu kwa watu wanaotumia njia zinaathirika na ujenzi huo.Road ya Msimbazi - Junction ya Kamata hadi Uhuru Imefungwa ujenzi wa barabara ya mabasi kasi......ndio tatizo
Aisee hapo kuna wiki 2 au zaidi ngumu kwa watu wanaotumia njia zinaathirika na ujenzi huo.
Tatizo ni serikali kukaidi kuhamia dodoma!Habari wa JF,
Aliyefika mjini, aliyepita Nyerere Road atujuze; hivi kuna tatizo gani huko mbele? Maana foleni ya kuelekea mataa ya Chango'mbe kutokea Nyerere Road imeanzia hapa Tazara, halafu haitembei.
Khaa!! Wewe unafanyakazi posta lakini unaishi Pugu kisa eti unaona sifa kuitwa father house. Tumia akili kaa chini piga hesabu za muda na gharama unazopoteza kila siku kusafiri. Mbona huku posta nyumba za kupanga ni nyingi tu. Usiishi maisha ya mstaafu ilihali bado unachapa kazi bana
Kaa!! Waambie bana. Ndiyo hawa wanasababisha nchi yetu kuwa masikiniNjoo kigambon huduma zote zipo hadi madada poa