Foleni Nyerere Road inasababishwa na nini?

julisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2011
Posts
209
Reaction score
50
Habari wa JF,

Aliyefika mjini, aliyepita Nyerere Road atujuze; hivi kuna tatizo gani huko mbele? Maana foleni ya kuelekea mataa ya Chango'mbe kutokea Nyerere Road imeanzia hapa Tazara, halafu haitembei.
 
SOGHOO Nooo sio mgeni na napita hii njia kila siku kwenda job ila leo balaa..
 
Last edited by a moderator:
SOGHOO Nooo sio mgeni na napita hii njia kila siku kwenda job ila leo balaa..

Kweli kabisa wewe sio mgeni maana una busara zilizo kwenda shule. Kuna treni imeamua kuacha reli na kupita barabarani na kusababisha foleni.
 
Msimbazi Imefungwa, Kipande cha Kamata mpaka Jiapanda ya Uhuru. Mabasi ya Kkoo yanageukia Kamata. ndio sababu.
 
Khaa!! Wewe unafanyakazi posta lakini unaishi Pugu kisa eti unaona sifa kuitwa father house. Tumia akili kaa chini piga hesabu za muda na gharama unazopoteza kila siku kusafiri. Mbona huku posta nyumba za kupanga ni nyingi tu. Usiishi maisha ya mstaafu ilihali bado unachapa kazi bana
 
tatizo siku hizi kila mtu ana gari kuna magari hadi yana cc 600
 
Msimbazi Imefungwa, Kipande cha Kamata mpaka Jiapanda ya Uhuru. Mabasi ya Kkoo yanageukia Kamata. ndio sababu.

wanafungaje hawa wamekula maharage ya wapi hawa watuuu
 
Khaa!! Wewe unafanyakazi posta lakini unaishi Pugu kisa eti unaona sifa kuitwa father house. Tumia akili kaa chini piga hesabu za muda na gharama unazopoteza kila siku kusafiri. Mbona huku posta nyumba za kupanga ni nyingi tu. Usiishi maisha ya mstaafu ilihali bado unachapa kazi bana

acha mawazo finyu, mwenzako anaishi kwake na istoshe ana ndinga tatizo liko wapi hapo
 
Khaa!! Wewe ndiyo una mawazo finyu mbona wengi tu wana ndinga na mijengo ya maana nje ya mji lakini wameiacha na wameamua kupanga bedroom 2 tu. Kama unajali muda wako na kazi yako unachoice 2 ama upange katikati ya jiji au ununue japo Robison 22 kukabiliana na maisha halisi ya Dar. Vinginevyo ni kujidanganya na kujitesa tu
 
Habari wa JF,

Aliyefika mjini, aliyepita Nyerere Road atujuze; hivi kuna tatizo gani huko mbele? Maana foleni ya kuelekea mataa ya Chango'mbe kutokea Nyerere Road imeanzia hapa Tazara, halafu haitembei.

Road ya Msimbazi - Junction ya Kamata hadi Uhuru Imefungwa ujenzi wa barabara ya mabasi kasi......ndio tatizo
 
Aisee hapo kuna wiki 2 au zaidi ngumu kwa watu wanaotumia njia zinaathirika na ujenzi huo.
 
Habari wa JF,

Aliyefika mjini, aliyepita Nyerere Road atujuze; hivi kuna tatizo gani huko mbele? Maana foleni ya kuelekea mataa ya Chango'mbe kutokea Nyerere Road imeanzia hapa Tazara, halafu haitembei.
Tatizo ni serikali kukaidi kuhamia dodoma!
 
Khaa!! Wewe unafanyakazi posta lakini unaishi Pugu kisa eti unaona sifa kuitwa father house. Tumia akili kaa chini piga hesabu za muda na gharama unazopoteza kila siku kusafiri. Mbona huku posta nyumba za kupanga ni nyingi tu. Usiishi maisha ya mstaafu ilihali bado unachapa kazi bana

Njoo kigambon huduma zote zipo hadi madada poa
 
Back
Top Bottom