Hahahah kumbe wewe ndo unayemaliza sabuni za nyumbani kwenu maana kuoga kwako u nachukua saa nzima kabisa huko na wapangaji wenzako wanalalamika sana kuwa huwa ukiingia bafuni hutoki kabisa

Kweli mkuu napata sana malalamiko kutoka kwa wanafamilia natia hasara bajeti ya sabuni nadhani ni kwa tabia yangu ya kupenda kuoga mara kwa mara..........