Foleni la hapa Buguruni shida nini?

HaMachiach

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
3,399
6,077
Ni siku kadhaa sasa hapa Buguruni kunakuwa na foleni isiyoeleweka. Leo Jumamosi mchana huu kuna bonge moja la foleni.

Hebu traffic litazameni hili, yaani toka Tabata Bima nimetoka saa saba kasoro hadi sasa hivi inaenda tisa sijavuka hata Buguruni, why?
 
Tumeshajua mida yako ya kupita mitaa hiyo... Tutakuwekea tego siku

Cc Mshana Jr
 
Back
Top Bottom