Labda ni siku ya soko pale Boko chama, siku za soko jioni huwa foleni ndefu sanaHabari wadau,
Kuna foleni kubwa sana maeneo ya bunju,gari hazitembei,nimekwama hapa juu kilimani mbele ya lake oil.
Vyombo husika(trafiki) njooni muokoe jahazi.
Habari wadau,

kamata boda fasta.Habari wadau,
Kuna foleni kubwa sana maeneo ya bunju,gari hazitembei,nimekwama hapa juu kilimani mbele ya lake oil.
Vyombo husika(trafiki) njooni muokoe jahazi.
Akili yako unaijua mwenyeweKwani maeneo ya Kuishi Mkoani Dar es Salaam hasa yaliyo karibu na Mjini yameisha hadi ukimbilie tu Kuishi huko Mashambani sijui Bunju na Boko?
Labda ni siku ya soko pale Boko chama, siku za soko jioni huwa foleni ndefu sana